Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Ndiyo boss [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2] Kumbe
Ulikuwa Tiba ama coed?
Ndiyo boss [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2] Kumbe
Pasaka hii lazima tuwake na sare[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama naona tutakavyoshona sare zetu jamani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
TIBA bossNdiyo boss [emoji4]
Ulikuwa Tiba ama coed?
Ng'ong'ona tulikuwaga tunapaita Ng'ox [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo boss [emoji4]
Ulikuwa Tiba ama coed?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaachana tu.......
Unaruhusiwa kutupa ndoano na wewe utoke na samaki wako...[emoji28]Sasa uzi umekuwa wa mapenzi.(transformation)[emoji23][emoji23]
Ni wivu tu[emoji125]
Na sisi mtuombeee tuwaletee ka anko hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5] kbla ya 2022Hongera sana Bill, kabinti kamepishana tarehe/siku moja na kajunior kangu (miaka tofauti). Mungu akawatunzie na kuwakuzia kabinti kenu, kakawe lango la baraka na mafanikio kwa ndugu zake. Akatengwe mbali na kila magonjwa, laana na mikosi. Msikose wala kupungukiwa anything necessary kwa ajili ya malezi ya binti yenu. Akaishi maisha marefu yenye afya, amani, upendo na utajiri.
Mashangazi tunaandaa sherehe, au ngoja tusubiri kafikishe 40. [emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahaha ila jaman mawifi tu ninao[emoji7][emoji851]Pasaka hii lazima tuwake na sare[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hyo mkwep na usilence wake atacheza mziki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kama naona tutakavyoshona sare zetu jamani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha!Ng'ong'ona tulikuwaga tunapaita Ng'ox [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tena [emoji4]TIBA boss
AfadhaliNa sisi mtuombeee tuwaletee ka anko hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5] kbla ya 2022
Wazee wa ujasini😂Hahaha!
Kumechangamka kichizi..
Mtu anaona bora akae coed kuliko tiba..
Akili za shule hizi[emoji16]
Hapa umetukuta [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha ila jaman mawifi tu ninao[emoji7][emoji851]
Acha kabisa[emoji119]Wazee wa ujasini[emoji23]
Asante mkuuKaribu tena [emoji4]
😂😂😂wakurgwa siku hzi wansema wanasoma Udom campus ya Ujasini..Acha kabisa[emoji119]
Chakula Cha wajasi ni noma..nguvu ya buku ipo ujasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww umevua au umevuliwa?Unaruhusiwa kutupa ndoano na wewe utoke na samaki wako...[emoji28]