umepata mtoto??Niko salama kaka nilikua busy nasubiri ugeni mpya duniani hatimae umewasili
hahahahahah aisee ataolewa na Kendrick huyu....mpe hongera shemeji karibu ubabani mkuuHahaha una kaunabii fulani best wangu, limezaliwa toto la kike nalo linaitwa joyce
Nimekuaminia Mtumishi[emoji119][emoji119][emoji119]Umeona kazi zangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa tumeshapata sababu za kuserebukaWhozaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji178][emoji108]
Halooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Tumogheleee[emoji7][emoji7][emoji7][emoji126][emoji126]
Heaven Sent ona mambo dada [emoji2960][emoji23]
Niko salama kaka nilikua busy nasubiri ugeni mpya duniani hatimae umewasili
Ni wivu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa uzi umekuwa wa mapenzi.(transformation)[emoji23][emoji23]
Ni wivu tu[emoji125]
Hongera Sana..kasalimie kajunior[emoji7]Hongera sana Bill, kabinti kamepishana tarehe/siku moja na kajunior kangu. Mungu akawatunzie na kuwakuzia kabinti kenu, kakawe lango la baraka na mafanikio kwa ndugu zake. Akatengwe mbali na kila magonjwa, laana na mikosi. Msikose wala kupungukiwa anything necessary kwa ajili ya malezi ya binti yenu. Akaishi maisha marefu yenye afya, amani, upendo na utajiri.
Mashangazi tunaandaa sherehe, au ngoja tusubiri kafikishe 40. [emoji119][emoji119][emoji119]
Ni sherehe juu ya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa tumeshapata sababu za kuserebuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuaminia Mtumishi[emoji119][emoji119][emoji119]
Pamebadilika kiasi..si Sana.Ng'qng'ona kitambo sana [emoji2] nadhani patakuwa pameshaboreshwa maana sijawahi fika tena huko tangu 2016
Wajina hahah!Hahaha una kaunabii fulani best wangu, limezaliwa toto la kike nalo linaitwa joyce
Ni wivu tu[emoji23][emoji108]Mtaachana tu.......
Hongera Sana..kasalimie kajunior[emoji7]
Ni sherehe juu ya sherehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ya kwanza ni ya yule binti wa Mwakaseghe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya kumenoga[emoji7]
[emoji2][emoji2][emoji2] KumbePamebadilika kiasi..si Sana.
Ukienda utashangaa mabadiliko
[emoji7][emoji120][emoji120]Zimefika kabisa ma mdogo [emoji120][emoji120]