cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,989
Mbona sukuma wiki na chainizi ni tofauti mom. Au mie ndo sielewiSukumawiki ni chainizi [emoji16][emoji16]
Mbona sukuma wiki na chainizi ni tofauti mom. Au mie ndo sielewiSukumawiki ni chainizi [emoji16][emoji16]
udom sr....Kwanza picha linaanza unavyofungua account yako..sisi ilikuwa SR,nyie mnaita ARIS sijui
Mara paah!unachungulia unaona rangi nyekundu na kanyota [emoji1787][emoji1787]unaweza tupa simu chini
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua hapa tayari[emoji119]
Nyie Kuna watu watakuja kufa kwa magonjwa ya moyo huko chuo
dada wapi k vanga[emoji1635]View attachment 1724819
hii status nimeweka mimi ila kila muda naiangalia nacheeeeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Itakuwa hajawahi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah dogo hajawahi kula nini hiyo kitu
Mimi huyo mdudu SR,licha ya kwamba nilimfungua mara nyingi Sana ila sijawahi kumzoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]udom sr....
sijawai angalia matokeo nikiwa sijalewa...
lazima nilewe ndio naangalia bila presha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Alikuja jioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aliwakomesha, hakutoa taarifa.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni kauzu kuliko mkwepu jr ,kwa hiyo napita kimyakimya![emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alikuwa anadai akiambiwa matokeo tayari tumbo linavuruga anapiga kambi chooni😀 mbaba mmoja yeye alidai tangu aingie chuoni amedevelop tatizo la pressure kupanda🤣🤣 huko chuoni kuna watu wanapata taabu tupu😅😅.Mimi huyo mdudu SR,licha ya kwamba nilimfungua mara nyingi Sana ila sijawahi kumzoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Matokeo yakija yaani kifungua Sr ni kimbembe,,, nakumbuka mara ya mwisho naangalia aisee [emoji1787][emoji1787],kabla sijafungua nilisweat mikono yote[emoji23][emoji23]
Kwanza watu watoa taarifa wa group la darasa..oyaa sr imetema.
Tumbo lilivuruga....na nilikuwa na stress zangu kibao, nikasema siangalii leo.
Nikajikaza bila kufungua,ilipofika usiku si nikaanza kuiota,,nyotanyota haziishi kichwani..usingizi wa mang'amung'amu[emoji23][emoji23][emoji23]nikawahi saa 11 nikafungua at least nafsi ikafurahi.
Si nilikuwa namzingua tu stoic [emoji3][emoji3]Mbona sukuma wiki na chainizi ni tofauti mom. Au mie ndo sielewi
Tafadhali tafadhali.Mungu wetu mwaminifu usiruhusu lolote baya litokee..I pray 🥺🥺🥺Huyu kigogo anatia watu kimuhe muhe cha kujua yanayojiri ndani ndani huko. AaaaahView attachment 1724826
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu alikuwa anadai akiambiwa matokeo tayari tumbo linavuruga anapiga kambi chooni[emoji3] mbaba mmoja yeye alidai tangu aingie chuoni amedevelop tatizo la pressure kupanda[emoji1787][emoji1787] huko chuoni kuna watu wanapata taabu tupu[emoji28][emoji28].
Sema kuna wanachuo huwa ni wazembe aisee yani karibia kila semista wana supp.
[emoji7] AmenTafadhali tafadhali.Mungu wetu mwaminifu usiruhusu lolote baya litokee..I pray [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Kitu...mbu..aMorning guysView attachment 1725013
YeahKitu...mbu..a
Safi,naona umekimega kiswaga Fulani hvYeah
NdioKitu...mbu..a