Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,202
Teh[emoji23]
Dogo la Billy wewe
Teh[emoji23]
Mboga za majani na nyanya sio kiivo, kitunguu tu mchezo unaisha.Yah
Inakuwa nzuri...japo Leo nimeinyima nyanya
Acha kabisa[emoji856]
Mimi nikiweka karanga napenda niweke na nyanyaMboga za majani na nyanya sio kiivo, kitunguu tu mchezo unaisha.
Nimejikaribisha niambie nije wapi?
MbeyaNimejikaribisha niambie nije wapi?
Asante sipo mbali sana ntakaribia soon nije kula sukumawiki.Mbeya
Karibu
Pandisha nione smile Anna.
So sad yaan kipenziiih[emoji18][emoji18][emoji18]
Yaan inaogopesha mno. Kwa kweliUlie siku nzima wakati semester inakutazama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilipata semester ya kwanza ya mwaka.Nilirudi semester nyingine nikijua kabisa nina sup ya semester iliyopita
Hiyo soma yake kama mwehu yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema wallah afe kipa afe beki sipati tena aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc kichaa tena lol.Mimi nilisema nikidisco hata home sirudi[emoji23]
Nadhani ingetokea hivyo ningekuwa kichaa sasahivi.
Chinese mnatia karanga? Mie mboga yeyote ikitiwa karanga tyuuh bas siri, hata kuiona tyuuh sitaki, mnawezaje nyie, hata home huwa nawashangaa San wenzangu. Lol
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee cc kichaa tena lol.
Crush wangu uyo💜❤️,
Muulize Karma atakuambia utamu wa hiyo mboga ya karanga[emoji4]Chinese mnatia karanga? Mie mboga yeyote ikitiwa karanga tyuuh bas siri, hata kuiona tyuuh sitaki, mnawezaje nyie, hata home huwa nawashangaa San wenzangu. Lol
Umenoga na vazi la shefon, ila rangi hiyo sasa sio nzuri, ungepatia ile light blue, au blue ocean. Ungedamshije sasa.
HahahaPandisha nione smile Anna.
Rangi ya chama tawala hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Umenoga na vazi la shefon, ila rangi hiyo sasa sio nzuri, ungepatia ile light blue, au blue ocean. Ungedamshije sasa.