cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha nikiwa advance, kuna kipindi niliona mambo magumu afu yanani elemea, yaan nilikua km mwehu fulan hivi, nlivorudi home wote walikua wananshangaa nilikonda na kubaki mifupa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo
Mida hii ningekuwa chizi naokota makopo.
Kuna kipindi tu nilikuwa Kama chizi siyo chizi..mambo mengi hadi nikawa kama akili inaruka.