Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaan mie kusukuma ndinga ndo starehe yangu, nikiwa nakanyaga mafuta pale mbele, naiona dunia yote yangu. .
Kuna mtu kashajua udhaifu wangu, akiona tyuuh sipo sawa ananipa funguo ya ndinga, oooooooh hapo sasa moyo unaitikia "ewaaaaaaaah".
akununulie kabisa sio anakuonjesha tu
 
Tunafanye sasa mama angalau aandike kitu jmn..

Ujue toka najiunga jf nimekuwa makin sana kwa member wote wa humu, wapo tulio tanian matani ya hapa na pale,

Lakn toka nimjue hyo mjamaa basi ata ukiniamsha usingizini uniulize kwa wanaume wa jf wote ukipewa nafs ya kuchagua unae mpenda utamchagua nn aiseee

Hyo jamaa ata angewekwa namba ya mwisho ningeakikisha namfikia wallah tena..
Unataka umpe zawadi ya ushindi
 
Wakuu Niko admitted Dodoma General hospital since last Sunday, abdominal pains. Prayers zenu
IMG_20210311_181245_937.jpg
 
Back
Top Bottom