qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
Tunafanye sasa mama[emoji7] angalau aandike kitu jmn..Haahaha
Umenifungua akili
Ujue toka najiunga jf nimekuwa makin sana kwa member wote wa humu, wapo tulio tanian matani ya hapa na pale,
Lakn toka nimjue hyo mjamaa basi ata ukiniamsha usingizini uniulize kwa wanaume wa jf wote ukipewa nafs ya kuchagua unae mpenda utamchagua nn aiseee
Hyo jamaa ata angewekwa namba ya mwisho ningeakikisha namfikia wallah tena..