cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Nilishaweka jana hapa.Ya kwako?
Nilishaweka jana hapa.Ya kwako?
Kalumbu nimekufundisha kutag mbona?
Nice though tuliambulia emojiNilishaweka jana hapa.
Ila ni picha, imeisha hiyoooooohNice though tuliambulia emoji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi me nikijua hyu mtu ana kigugumizi siachi kumuongelesha nakwambia kila sekunde nina wewehahahahaha mimi nina kigugumiz hatari sipendi kuongea kabsa.....kuna sehemu nilienda walijua bubu week sijaongea
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umenisusa halafu eti naskia hunipendi siku hizi,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mdogo wangu habari za siku nyingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23] ata ii nayo tamu kama RR tuUtafutaji huo vepeeeh? Usitake kunambia unatafuta ili uvute RR, Wallah utakua unaota ndoto huku ukiwa unatembea tena mchana kweupe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Relaaaaax Mr.
Thubutuuuh weeeh, ila kuna best angu ndo Mr wake anayo km hiyo, huwa tukiwa wawili nakanyaga mafuta mie, ni tamu ila sio kwa RR,[emoji23][emoji23][emoji23] ata ii nayo tamu kama RR tu View attachment 1722732
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji171]Upendo upofu[emoji7]i can't be disappointed , nikiona uko kimya najua ni kudeka tu[emoji3590].
Mwee Kalumbu [emoji23]
Walishaufunga.Uzi huo upi? Naomba kanitag, na mie nika mtaje wangu
Jinga wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mjeda kazini!
Ila usijali kabisa [emoji23][emoji851][emoji851]Umeona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unashika pembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeumia sana...mtu hajawai hata kukoment anapendwa??
sisi tunajitahd kushiriki mijadala mbalimbali nchi hata hatupendwii
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kubisha Siku ntapost RR yangu apaThubutuuuh weeeh, ila kuna best angu ndo Mr wake anayo km hiyo, huwa tukiwa wawili nakanyaga mafuta mie, ni tamu ila sio kwa RR,
Kuna siku nilipata lift ya range rover dadeki, nusu nimuombe jamaa nizungushe mie usukani, yaan ndinga unaisikilizia utamu had kwenye utumbo mpana. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kalumbu nimekufundisha kutag mbona?
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha mimi nina kigugumiz hatari sipendi kuongea kabsa.....kuna sehemu nilienda walijua bubu week sijaongea
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yaan mie kusukuma ndinga ndo starehe yangu, nikiwa nakanyaga mafuta pale mbele, naiona dunia yote yangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we endelea kubisha Siku ntapost RR yangu apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mkwepu alivyo hatajali Mimi ni nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]