Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Mawazo yangu nilijua wewe pande la mtu
Mawazo yangu nilijua wewe pande la mtu
Mawazo yangu nilijua wewe pande la mtu
Itakuwa ile misosi yakoKwanin?
Hahahah..!Itakuwa ile misosi yako
YaaniHahahah..!
Aisee ila hata id yangu inajieleza

Aah wewe sasa unanivunjia heshima ungejua. Umri ungenipa heshima.Yaani
Siku zote nilijenga picha hiyo kichwani
Kumbe upo kadogo hivyo..sawa tu na mdogo wangu wa mwisho![]()
Wewe kadogo kaku ka mwisho nimekupita miaka kumi.Aah wewe sasa unanivunjia heshima ungejua. Umri ungenipa heshima.
Alafu wembamba wa reli huoni treni inapita

Ndio shida ya wadada wa Jf embuweka picha yako hapa tuone nawewe tusiandikie mate.Wewe kadogo kaku ka mwisho nimekupita miaka kumi.
Misosi yote ile rafiki yangu bado uko modo kama mimi dadako![]()
Baby leo hupigi stori na MimiVijana wanafeli wapi sijui?

Nipo na wewe baby wangu!...nambie maneno mazuri nilale vzr leoBaby leo hupigi stori na Mimi
Kukumiss kote kule
Kweli misosi sio unene.Ndio shida ya wadada wa Jf embuweka picha yako hapa tuone nawewe tusiandikie mate.
Misosi sio kunenepa kunenepa ni kuridhika.
Acha blaablaa weka picha maana nakufahamu huwekagi picha unless uweke dk2 unafutaKweli misosi sio unene.
Nilitaka Anza kula sana ila umenikatisha tamaa.
Si ajabu mm mamkubwa wako kabisa,unataka niweke picha
Leo zamu yako kuniambia babyNipo na wewe baby wangu!...nambie maneno mazuri nilale vzr leo

Mimi naweka siku zote.Acha blaablaa weka picha maana nakufahamu huwekagi picha unless uweke dk2 unafuta
Hmmm haya bana.Mimi naweka siku zote.
Nahisi picha zangu zimejaa humu
KweliHmmm haya bana.
Hata kipofu hadanganyiki hivoKweli
HahahahahaHata kipofu hadanganyiki hivo

Dogo!Hahahahaha
Mimi mwembamba Kama wewe rafiki yangu .
Nakonda tu,hadi nawaza hvi kweli chakula huwa kinaingia tumboni kweli![]()