Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usije fanya nikatamani kukupigia muda huu crush

Dah ukisikia sauti yangu utakuwa disappointed
Siwezi kuongea aisee..wwe utaongea maneno kumi,muda huo mimi nimeongea moja!
Speed ya konokono
hahahahaha mimi nina kigugumiz hatari sipendi kuongea kabsa.....kuna sehemu nilienda walijua bubu week sijaongea

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom