Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpoo
20210302_194614.jpg

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni hizo emoj za kiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Picha siku hizi siwezi kuweka
Mashostito zangu walishazamisha simu yangu kwenye uji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imekuwa kimeo zaidi ya mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nilimaanisha hizo hizo emojis. Kwamba ngoja nijifanye kama sijaziona yaani. [emoji3][emoji3]

Duuh pole! Nina imani yule shostito mkubwa handsome wangu hahusiki kabisa hapo! [emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Kumbe umejifanya hujaziona!!
Ngoja ntaziongeza zaidi..ntaongeza makorokocho kibao ili mtufuatilie movie yetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yule hahusiki..Kuna kengine yaani kamenitia hasara Sana[emoji134]..hata spika zilikufa baadaye zikafufuka[emoji1787]
Camera imejaa ukungu[emoji23][emoji23][emoji23]

kwndrick alichukua simu yangu simpo simpo akaitupia kwenye ndoo ya maji......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nilipata uchungu mkubwa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
kwndrick alichukua simu yangu simpo simpo akaitupia kwenye ndoo ya maji......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nilipata uchungu mkubwa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]yaani watoto acha tu!
Kwenye maji haiponi.
Walishaua simu kibao...kitendo cha kugeuka tu kidogo simu ishazamishwa kwenye uji tena wa Moto..nilitoa haraka[emoji86]sikujali hata km ni wa moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom