cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,277
Hongera sana,kuna kapicha flani hivi nakapata, dah...
Mi nasubiri yakoKuna watu wamepotea sana humu, picha jamani!!!
Mbona nimetupia sana, za kutosha!Mi nasubiri yako
Marekani wanafunzi warefu wengi ni wacheza basketball wa timu ya shule, bongo wanafunzi wengi warefu ni wafuta ubao...





Naomba mojaa mi sijaonaa badooMbona nimetupia sana, za kutosha!
..yani hadi mods wameniambia nikome najaza kanzidata zao!Naomba mojaa mi sijaonaa badoo
Mbona nimetupia sana, za kutosha!
Koh Koh..yani hadi mods wameniambia nikome najaza kanzidata zao!
Kiatu nimekielewa.
Young, Hot & Crooked!😄😄😄Kiatu nimekielewa.
Nilikuwa sijuagi AiseWazungu ndio zao hao.
Na wtt wao wakiwaweka kwenye pram pia hawawavishi viatu
Ni znz ankalHii location mbona kama beach kidimbwi