Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Wewe utakuwa na pepo wewe Kalumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ati nini[emoji86][emoji86][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]Hakika nimeumia sana...leo ni siku ya majonz sana mwamba kuacha bia
sasa unaonaje tujipongeze angalau na tubia tuwili wili ili tuagane fresh
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aiseeee!!...kwa hiyo umeacha kunywa bia kwa nguvu/msukumo wa kumpenda Saint Anne ?
Wife to be!..Aiseeee!!...kwa hiyo umeacha kunywa bia kwa nguvu/msukumo wa kumpenda Saint Anne ?
Unataka kumpenda huyu mpendwa kama nani yako?
Ooh!!vizuri sana mkuu.
Ahaaa siwezi kumuacha...amenikubali tayariOoh!!vizuri sana mkuu.
Maamuzi yako na yaheshimiwe na watu wote.
Ila usije badirika pindi pale utakapo mpata/kubaliwa na mpendwa wetu.
Vipi kwema lakini mkuu
[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee nitajopongeza kwa maji tu
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
heheheheh sema umetupoka memba kalumbu...Ati nini[emoji86][emoji86]
Wewe kajipongeze na Kaka yako Billy.
Jack wangu niachie
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]heheheheh sema umetupoka memba kalumbu...
uzuri bill anasema yy bado yupo yupo sana...hakika ananifurahisha mno
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aiseee nimependa mahali hapaNjobeeeeee Jahpipo.View attachment 1715696View attachment 1715697