Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi nikipitaga Moshi nakuwa natizamia wapi sijui, sijawahi kuuona Mt. Kili kwa kutokea Moshi. Nilishawahi kuuona kwa Arusha - Njiro (kilele tu
Nenda kcmc hopsital pale pia inategemea na muda gani, kwa maana ya ukungu unatanda kimtindo muda na muda, wakati mzuri hutakuta ukungu ni mida ya jioni jioni hivi utapata view nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Kumbe umejifanya hujaziona!!
Ngoja ntaziongeza zaidi..ntaongeza makorokocho kibao ili mtufuatilie movie yetu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yule hahusiki..Kuna kengine yaani kamenitia hasara Sana[emoji134]..hata spika zilikufa baadaye zikafufuka[emoji1787]
Camera imejaa ukungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli niljikuta aibu naona mie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ilikufa baadaye ikafufuka
 
halafu zoe nilikua namchukulia kama sista duu fulani hivi na minato ya mwendokasi....huyu karma namuona kama mtu social,peace hana noma na mtu

aisee kumbe ni mtu mmoja[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji4]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]

Aiseee Minato gani tena hiyo mkuu
Halafu Gerald unajua hukunijibu hili swali langu eh [emoji3][emoji3] [emoji16][emoji16]
 
kila mtu na vile anavyomchukulia mtu[emoji3][emoji3][emoji3]....mimi kuna id humu nazichukulia tofauti kabisa kuna watu the way wanavyoandika humu jinsi wanavyo react naona kabsa hawa mimi siwezani nao..
...

same to you ulivyokua zoe nilikua nakuona kama sistaduu fulani hivi ambae hata salamu anachagua apokee ipi....hivyo ndivyo nililivyokua nakuchukulia inawezekana nilikua wrong or whatever...

ila id jina la Karma niliikubali kwanza sikudhani ww ndio zoe....huoni tulikua tuna quotetiana tuu humu full milikes karma namchukulia mtu poa asiye na tatzo na mtu peace sana tofauti na nilivyokua namchukulia zoe

.
.em kapicha kamoja kwanza mkuu??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
[emoji137]
5f80f33c11914f199f8d605e7e3f018b.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli niljikuta aibu naona mie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ilikufa baadaye ikafufuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Jack aje tuendeleze movie yetu .. nimegundua convo za namna hii huwa zinavutia watu kusoma[emoji1787]

Kweli ilikufa speaker..napiga mziki sauti haitoki,voice note WhatsApp ikaacha kurecord...nikasema tayari[emoji23]
Nikaianika wee kesho Yake Mara naona ikafufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu na vile anavyomchukulia mtu[emoji3][emoji3][emoji3]....mimi kuna id humu nazichukulia tofauti kabisa kuna watu the way wanavyoandika humu jinsi wanavyo react naona kabsa hawa mimi siwezani nao..
...

same to you ulivyokua zoe nilikua nakuona kama sistaduu fulani hivi ambae hata salamu anachagua apokee ipi....hivyo ndivyo nililivyokua nakuchukulia inawezekana nilikua wrong or whatever...

ila id jina la Karma niliikubali kwanza sikudhani ww ndio zoe....huoni tulikua tuna quotetiana tuu humu full milikes karma namchukulia mtu poa asiye na tatzo na mtu peace sana tofauti na nilivyokua namchukulia zoe

.
.em kapicha kamoja kwanza mkuu??

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Duuh

Basi bora nilivyolirudia hili la Karma maana hizo tabia za Karma ulizozielezea ndiyo mimi halisi! Zoe wala siyo mimi halisi (japo sidhani kama ni kweli nilikuwa hivyo ulivyosema)!

Picha hata sina Kalumbu! Ujue mimi sipendagi Picha sijui kwanini yaani napigaga kwenye matukio hadi matukio tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Jack aje tuendeleze movie yetu .. nimegundua convo za namna hii huwa zinavutia watu kusoma[emoji1787]

Kweli ilikufa speaker..napiga mziki sauti haitoki,voice note WhatsApp ikaacha kurecord...nikasema tayari[emoji23]
Nikaianika wee kesho Yake Mara naona ikafufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kuna dogo mmoja alimuona mama yake akiosha viazi akaona isiwe tabu nae ajikeep busy kidogo akachukua simu akatafuta maji yalipo akaanza kuosha nayeye[emoji3] watoto wana mambo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Aisee,,akawa anamsaidia kuosha simu[emoji119]
Na unakuta kanakutazama usoni jinsi unavyopata uchungu na hauwezi kukafanya chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja Jack aje tuendeleze movie yetu .. nimegundua convo za namna hii huwa zinavutia watu kusoma[emoji1787]

Kweli ilikufa speaker..napiga mziki sauti haitoki,voice note WhatsApp ikaacha kurecord...nikasema tayari[emoji23]
Nikaianika wee kesho Yake Mara naona ikafufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom