Selfika na JF: Snap it. Show it

Na ukimbaombao huu nakuwaje kisu!?
Acha matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wenye six packs kina Lizarazu visu vyao vipo kule juu[emoji1787][emoji1787]
Nikipambana kuwa na siksi paki utanifikiria? Unajua hata wale ng'ombe bado wamenidodea [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kuwa na siksi paki kama za huyo ngosha mwenzangu itachukua muda sana wallahi
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna watu huku ni vivuruge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…