Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mie sio kila mtu naongea nae, na principle yangu hii ngeni huwa sipokei wala kumuuliza nani. Atajitambulisha mwenyew kwa text then ntampigia if possible.

Yaan huwa nadeal wale wa muhimu kwangu, lazima niwapigie au sivyo natuma please Call me.

Kuhusu kuchat hapana aseeeh swez kamwe.
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka uzishushe nyavu zako...haijalishi usiku wako ulikuwa mrefu kiasi gani...KUMEPAMBAZUKA..!!!
IMG-20210222-WA0220.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom