donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,138
Mors certa, incerta vita
Simba OyeeeesimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaView attachment 1709945
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Geuka Kushotooo, Kushotooo Geukaaaaa.
1, 2, 3, 1.
Unapitwa na mengi wee, Dunia enyewe iko IG lol, [emoji3][emoji3][emoji3]Mi naona chenga tu
Umbea mwingi, mapichapicha..kwa kweli ule mtandao..sijui labda ntakuja kutumia mbeleni.
[emoji3][emoji3][emoji3] yaan wee cc bhana, nimechekaa ila lol.Basi tuko tofauti.
Mimi unaweza uwe na namba yangu na usijue sauti yangu maana huwa sipigi wala kupokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi nimpigie mtu aisee,niwe nimemkubali sana na kumzoea mno.
Simu yangu ishaacha kupigwa maana mara nyingi aliyekuwa ananipiga ni mama tu ambaye kwa sasa nipo naye karibu.
Poaahsawa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Geuka Kushotooo, Kushotooo Geukaaaaa.
1, 2, 3, 1.
[emoji23][emoji23] pozi la kuwaza RR yako na mimi napata wapi pesa za kununuaPouzzy
[emoji3][emoji3][emoji3] unajua wee unatumia San vibaya kuwaza? RR kwa kipi hasa? Hebu tulia na IST kwanza.[emoji23][emoji23] pozi la kuwaza RR yako na mimi napata wapi pesa za kununua
Abee Eli!
[emoji23][emoji23][emoji23] bibie umeanza sasa kunipendelea ist nitulie na boxer yangu kipuliza upepo [emoji1631][emoji1631][emoji3][emoji3][emoji3] unajua wee unatumia San vibaya kuwaza? RR kwa kipi hasa? Hebu tulia na IST kwanza.
Sijambo dada yanguAbee Eli!
Hujambo mdogo wangu?
Salama kabisa baba.Sijambo dada yangu
Habari za siku nyingi?
Vizuri sana kama ni salama kabisa mamaSalama kabisa baba.
Samaki wangu wako wapi?
Am very ready, fanya mambo basi.Vizuri sana kama ni salama kabisa mama
Samaki wako wapo ila bado hujawa na utayari wa kuwapokea mkuu
Nipe maelekezo nizitume samaki zako/wakoAm very ready, fanya mambo basi.