Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Nakuja dar kuishangaa RR yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapi hii Mr?
Nakuja dar kuishangaa RR yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapi hii Mr?
Wacha wee, sema imeondoka na mtu, kaenda nayo kaskazini ila had weekend itakua tayar isharud Dar.Nakuja dar kuishangaa RR yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushaanza kuazimisha azimisha katika vitu mwiko wangu ni kuazimisha usafiri ata useme wapi nakupeleka ila sio nimpe mtuWacha wee, sema imeondoka na mtu, kaenda nayo kaskazini ila had weekend itakua tayar isharud Dar.
Ungejua mie mchoyo hata wa kutoa lift, tatzo aliyenipa ndo kachukua eti. Si unajua vya kupewa manyanyaso mengi. Tunavumilia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushaanza kuazimisha azimisha katika vitu mwiko wangu ni kuazimisha usafiri ata useme wapi nakupeleka ila sio nimpe mtu
Nimpe mitano tena mtoaji [emoji1787][emoji1787]Ungejua mie mchoyo hata wa kutoa lift, tatzo aliyenipa ndo kachukua eti. Si unajua vya kupewa manyanyaso mengi. Tunavumilia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kuongea ni mtihani sana.Tatzo mie kuchat siwezi, bora mtu niongee nae tumalizane, ila kuchat hapana swez.
Kuchatchat kama humu hivi.Ina maan wee cc unapenda San kuchat? Mie dkk ndo naweka, ila text hapana.
Kwangu ni MB na DKK.
WhatsApp ya ukweli sana yaani.Hata mimi huwa sipendelei sana meseji za kawaida na naweza nikakaa hata mwezi sijajiunga kifurushi cha dakika au meseji za kawaida labda niwe nataka kumpigia mtu
Ila WhatsApp daah yaani bora nikose vyote kwenye simu yangu ila siyo WA aiseee
Na hata milele
NzuriNa hata milele
Amina
Habari ya uzima mpendwa katika bwana
[emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaah wee, wallah huna nia njema kwangu.Nimpe mitano tena mtoaji [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23] mie sio kila mtu naongea nae, na principle yangu hii [emoji648] ngeni huwa sipokei wala kumuuliza nani. Atajitambulisha mwenyew kwa text then ntampigia if possible.Mimi kuongea ni mtihani sana.
Simu ikiita napata presha yaani[emoji1787]
Huwa nafikiria sana kuongea na simu na ninaweza nisipokee.
Yaani hadi nimempigia mtu simu au kupokea aisee,niwe nimemzoea na kumkubali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie JF ndo kunanifanya nichat km hivi, ila kwingneko hapana siwezi kabisa yaan.Kuchatchat kama humu hivi.
Kuongea mimi siwezi kabisa kwahiyo huwa sioni umuhimu wa dakika za maongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app