Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuh kwahiyo unatumia texts za kawaida tu au kuna Mtandao mwingine unatumia
Sasa mommy unadhan mie napenda kuchat? Yaan mie ni mvivu na swez kabisa kuchat, hyo WhatsApp naweza kaa hadi mwezi sijaingia, notification naziona.

Huko kawaida ndo balaa sasa, huwa nawapigia wale wa muhimu kwangu. Sina wa kuchat nae. Na nimeshasahau lin mara ya mwisho kuweka kifurush cha text za kawaida.
 
Aisee
Mimi dk zangu huwa zinaenda tu bure..huwa sizitumii kabisa.

Nikiwa na MB tu Basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom