Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Achana na huyo T 1990 ELY rafiki.anakudanganya😃😃😃Kumbe kitu ipo ila mimi naishia kudanganywa kila siku kuwa ni flat shuz!😄🚶🚶🚶
Achana na huyo T 1990 ELY rafiki.anakudanganya😃😃😃Kumbe kitu ipo ila mimi naishia kudanganywa kila siku kuwa ni flat shuz!😄🚶🚶🚶
Ujue nina picha yako ya ugonjwa wa jamaa Behaviourist [emoji1]Achana na huyo T 1990 ELY rafiki.anakudanganya[emoji2][emoji2][emoji2]
🏃🏃🏃Ujue nina picha yako ya ugonjwa wa jamaa Behaviourist [emoji1]
Nikutumie uthaminishe mkuu?[emoji125][emoji125][emoji125]
🙌🙌🙌Nikutumie uthaminishe mkuu?
Najua huna unanitisha tu🤣🤣Ujue nina picha yako ya ugonjwa wa jamaa Behaviourist [emoji1]
Unaniruhusu nimtumie?
Huna cha kutuma najua😅😅😅Unaniruhusu nimtumie?
Yaani unaniambia kuwa nisimsikilize rafiki yangu mpendwa ambae nimempata leo baada ya kuunganishwa nae kupitia chura?Upo serious kweli?😳
Niruhusu uone kama sina cha kutuma ChakoriiHuna cha kutuma najua[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahahaha.....mwambie akuruhusu/aniruhusu nikutumie chura yake[emoji1]Yaani unaniambia kuwa nisimsikilize rafiki yangu mpendwa ambae nimempata leo baada ya kuunganishwa nae kupitia chura?Upo serious kweli?[emoji15]
Hii ndo nzuri sana, iweke bas mommy
Ile ya upako ndio mwisho wa matatizo[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umeirudisha[emoji7]
Nimefurahi sana
Naomba anuani yako rafiki, nataka niwatume wazee walete posa huko Zanzibar manake si kwa guu hilo😍😍
Wewe ya kwako ya chura utaiweka lini?😄😄😄Hii ndo nzuri sana, iweke bas mommy
Nipo serious rafiki.usimsikilize rafiki yako mpya anakupoteza😃😃😃Yaani unaniambia kuwa nisimsikilize rafiki yangu mpendwa ambae nimempata leo baada ya kuunganishwa nae kupitia chura?Upo serious kweli?😳
Eti kanda ya nyonyo[emoji1][emoji1]Naomba anuani yako rafiki, nataka niwatume wazee walete posa huko Zanzibar manake si kwa guu hilo[emoji7][emoji7]
Najua ukinizalia mabinti nitakuja kuwaoza kwa ng'ombe wengi huku kanda ya nyonyo [emoji85][emoji1322][emoji1322]
Mkuu!!😳😳😳Umeamua kuniingiza kwenye taabu na dhiki ya kuanza kutamani vya watu?😋😋😋[emoji2089]View attachment 1708394
Sawa natuma kwa jamaa[emoji1]Hakyamama tuma kama unayo