Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😳😳😳Mkuu una software ya kuziunganisha hizo picha?😄😄😄
😳😳😳Mkuu una software ya kuziunganisha hizo picha?😄😄😄
Haya mada imeshaisha tuendelee kujenga taifa guys🥂🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hahaha...ulikuwa na vipande vya picha/sura yake mkuu?
Duuh kwahiyo unatumia texts za kawaida tu au kuna Mtandao mwingine unatumiaDuuuuh poleeeh bas, ila mie now time JF ndo 1St choice, then IG, watsapp ilishanishinda wallah.
Usijali dear, nakuletea dolali kabisa though tulikubaliana utaniachia nauli ya kurudia 😀Fanya yote..make shua wallet hailowani
Hivi unajua na mimi nasubiria Connection ya kufahamiana na weweKwa hiyo nimekosa connection?Manake bila connection hupati kitu mjini hapa



nimezngua eeeehHahaha Kalumbu yani unataka nikakutag kwenye pm na whatsapp za watu kweli







Kwakuwa umechelewa kufika siku husika,basi hata nauli ninaikomba yooote....utarudi kwa kupiga mbizi nakwambiaUsijali dear, nakuletea dolali kabisa though tulikubaliana utaniachia nauli ya kurudia 😀
Ukinimalizia hadi nauli nitalazimika kuwa Chawa wako hadi utakaponipa nauli😀😀Kwakuwa umechelewa kufika siku husika,basi hata nauli ninaikomba yooote....utarudi kwa kupiga mbizi nakwambia
Sitakagi watu wawe mateka ujueUkinimalizia hadi nauli nitalazimika kuwa Chawa wako hadi utakaponipa nauli😀😀
Anyways nimependa mwenyewe nifanye niwe mateka wako wa kudumu 😍😍
Kwanini dear??Sitakagi watu wawe mateka ujue
Yaani unaniambia kuwa nisimsikilize rafiki yangu mpendwa ambae nimempata leo baada ya kuunganishwa nae kupitia chura?Upo serious kweli?![]()




HahahahaKwanini dear??
Hakuna atakaye kushtaki kunifanya mateka, nimechagua mwenyewe kuwa mateka wako
Ninayo mkuuMkuu una software ya kuziunganisha hizo picha?😄😄😄
Ndiyo mkuu kitambo sana nilikuwa na hii project😂Hahaha...ulikuwa na vipande vya picha/sura yake mkuu?
😂nimekuroga kwan??Punguza uchawi 🤣