Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Umri ulishafika mbona.Unaona hauhitaji mazoezi huja automatic tu umri ukifika.
Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri ulishafika mbona.Unaona hauhitaji mazoezi huja automatic tu umri ukifika.
Sorry
Lakini haina mvuto,
Hio mpya ni nzuri.
Hiyo picha naipenda sana aisee ..
Hii avatar mpya sijui hata nakuonaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa namalizia ufundi cherehani veta pale.Ina maana ulikua darasa la 7 B
HS kajoin 2013.
Bora tuseme ivyo.Haki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks
VETA kuna viboko😂
Hiyo uliyoitoa sasahivi ndio yenyewe sasaHaki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks
Ngoja nikubali tu.Umri ulishafika mbona.
Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio alioweka ndio yenyewe.
Makubwa!!!
A wapi.Hio alioweka ndio yenyewe.
VETA kuna viboko![]()




ndiyo na hivi kichwa kulikuwa kigumu basi ni stiki tuHivi nyie hamjui kama Kuna MMEMKWA?Ila ndio maana nikakuambia wewe Ni binti usie mkubwa Sana unabisha, juzi juzi tu kumbe uoikuwa shuleni
Maybe!



A wapi.
Ile aliyoitoa kuna namna imekaa kitumishi..mimi huwa naona ina upako fulani,huwezi nielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wanatandikwa huoni ni Jinai😂😂😂