geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
ahahahaha niliwaza ssnaDah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]
Kwahiyo kalumbu muda wote hukujua Kama ni Heaven on Earth?
nimeenda google nikaandika safari ya kupanda mlima kilimanjaro wakaleta link ya jamii forum ndio nikamsoma HOE
nilijua labda katyping error alitaka kusema HOHE HAHE