Wapi jomoneeh mom, dawasco kupo kwingi etiMitaa ya Dawasco huku
Ooooh bas sawaSikuisevu mrembo
Rafiki wewe ndiyo umechora hii?
Basi upo vizuri kujitambua ni jaliwa kubwa kidogo apewalo mtu.Mpendwa kuanzisha uzi inabidi uwe na content ya kushiba, afu bado kuna ku-reply comments zote za kwenye uzi; kwangu ni kazi ngumu sana. Bora tu niwe nacomment na kupita
Uzi gani huo nikajikumbushie kidogoBasi upo vizuri kujitambua ni jaliwa kubwa kidogo apewalo mtu.
Nakumbuka Kuna uzi mmoja tulikua tunajadili, ulinipa changamoto kidogo!
Wa muda kidogo, nimeusahau lakini si sana, ila hoja tuliobishania nadhani Ni usaliti wa mwaume kwenye ndoa na mke kusamehe.
Heaven Sent
My baby girlRafiki wewe ndiyo umechora hii?
Una uzoefu mkubwa.Hahahhaha kwenye usaliti huwa naandika hadi natamani niingie ndani ya simu. Sio wewe ulitoa mfano wa mmama aliyekuja kumsamehe mumewe uzeeni sijui?
Una uzoefu mkubwa.
Mahusiano.Uzoefu wa nini mpendwa?
Duh!Ana IQ kubwa sanaMy baby girl
Mimi simfikii hata robo.Nikimchora mtu naweza kujikuta namchora jini!she likes drawing View attachment 1707291
Umeshawahi kuona jini?Mimi simfikii hata robo.Nikimchora mtu naweza kujikuta namchora jini!
Ndiyo,nilimuona kwenye bongo movie.Umeshawahi kuona jini?