Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,886
- 37,843
Nope, wewe Appearance yako Ni very little young girl [emoji1787]Kama mimi hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope, wewe Appearance yako Ni very little young girl [emoji1787]Kama mimi hivi
A wapi
@Heaven Sent nimekustaajabia kwa kweli, samahan lakini!Heaven on earth ndiye alipanda mlima nkamu,
Mtu anayelazimisha ukubwa hua ni mdogo.A wapi
ubhusungu nimewaza sana HOE ni nini au kinini??Mmmh nkamu utakuwa umenichanganya, ni HOE ndiyo alipanda mlima Kilimanjaro. Mimi na huu uzee kupanda ngazi tu siwezi[emoji28][emoji28]
Umerudi jiji la nyumbani homeboykaribu mbeya mkuu...
niko sehemu fulani inaitwa mafiat
Kwahiyo nyie mnanibishana na muhusika?Mtu anayelazimisha ukubwa hua ni mdogo.
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]ubhusungu nimewaza sana HOE ni nini au kinini??
ndio napata jibu hapa HOE ni heaven on earth.....ww heaven sent
haya kalumbu kapicha sasa
Tunabisha!Kwahiyo nyie mnanibishana na muhusika?
Poleni[emoji23]Tunabisha!
ubhusungu nimewaza sana HOE ni nini au kinini??
ndio napata jibu hapa HOE ni heaven on earth.....ww heaven sent
haya kalumbu kapicha sasa
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134]
Kwahiyo kalumbu muda wote hukujua Kama ni Heaven on Earth?
Mkongwe Sana hapa jf na una maelfu ya comments lakini una mada 2 tu ulizo anzisha!Bila samahani, kuna nini mpendwa?
Hio hapoPoleni[emoji23]
Toeni hela niweke nida yangu hapa
ndio ndio kuna kaz napga aisee....home kunyafu mnoo nakuja kukusalimiaUmerudi jiji la nyumbani homeboy