Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,496
- 235,192
Hapana bwana.nimeangalia kwa mbali kule naona majengo ya social
Kule ni bondeni..embu angalia vizuri.
Hapana bwana.nimeangalia kwa mbali kule naona majengo ya social
Memory[emoji7]View attachment 1706844
Wavivu wa kutunza nywele tunanyoa tu vipara,hakuna namna.Uko vizuri skini flani ivi,
Unajua kutunza nywele [emoji171]
sure sure....naunga mkono hojaMimi ni mweusi
Siyo maji ya kunde wala viguvugu
Mimi ni mweusi.
Hizo picha zinavirangi rangi kidogo
sijawai shuhudia kapicha toka kwako kalumbu....tuma hata zile za kupanda mlima kilimanjaroUnywele sasa
Ndiyo ndiyo[emoji4]sure sure....naunga mkono hoja
ww ni MWEUSI
am your manara kalumbu.Ndiyo ndiyo[emoji4]
Bora umenisaidia kalumbu
Mweee role model nilishonea kaweaving[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Nina kipara saiviView attachment 1706881
sijawai shuhudia kapicha toka kwako kalumbu....tuma hata zile za kupanda mlima kilimanjaro
Hiyo weave tu niliipachika[emoji1787]Kwa mbali niliona kama texture na mkunjo wa weave, na nywele zako si zilikuwa natural eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh nkamu utakuwa umenichanganya, ni HOE ndiyo alipanda mlima Kilimanjaro. Mimi na huu uzee kupanda ngazi tu siwezi[emoji28][emoji28]
Kwa muonekano wa haraka haraka wewe ni binti mdogo tena mbichi kabisaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mweee role model nilishonea kaweaving[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Nina kipara saiviView attachment 1706881
kuna heaven wangapi humu nkamu basi nilishukuru na sisi tuna mnyakyusa kapanda mlima......Mmmh nkamu utakuwa umenichanganya, ni HOE ndiyo alipanda mlima Kilimanjaro. Mimi na huu uzee kupanda ngazi tu siwezi[emoji28][emoji28]
Nina miaka mingi ila nina mwili mdogoKwa muonekano wa haraka haraka wewe ni binti mdogo tena mbichi kabisaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna heaven wangapi humu nkamu basi nilishukuru na sisi tuna mnyakyusa kapanda mlima......
mweee
Wenye miaka mingi huonekana bwana!Nina miaka mingi ila nina mwili mdogo
Kama mimi hivi