Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Nimeiona na nikasepa nayo😅😅😅Kwa kweli nashukuru kama hakuna MTU ameona
Nimeiona na nikasepa nayo😅😅😅Kwa kweli nashukuru kama hakuna MTU ameona
Piga vyombo piga vyombo[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku yako ilikuwaje?Am good!!!
Saaaaana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti amekupa nguvu[emoji1787]hahahahha kanipa sana nguvu.....nataka jack akiacha next week mimi nianze
Si nzuri Sana?nini shida?Sio nzuri sana
Sio mbaya
Namshukur mungu.
Mm naacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti amekupa nguvu[emoji1787]
Nyie wawili hamuwezi kuacha..
Bora hata Billy
Leo nilikua off sana,Si nzuri Sana?nini shida?
Sawa mchumba.
Oh poleLeo nilikua off sana,
Siunajua wana wa-Adamu watu wa moods mbalimbali ivyo tu,
Karibu chai ya Tangawizi.
basi kalumbu kila nikiwaza kuhusu bill naona kama ndio ngumu kuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti amekupa nguvu[emoji1787]
Nyie wawili hamuwezi kuacha..
Bora hata Billy
mimi siachi siku za hivi karibuni...ila nitaacha
Kuna cha kwako special kimeandikwaOh pole
Akhsante,nakuja kunywa.. nitafutie kikombe changu Hapo
Au tutatumia kimoja?
Yaani unamuwazia Billy huku wewe ndio kiboko wa kunywa![emoji1787]basi kalumbu kila nikiwaza kuhusu bill naona kama ndio ngumu kuacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....
yani namuona kabsa huyu ni Bia mate
[emoji7]Kuna cha kwako special kimeandikwa
Anne, na tu urembo wa Ua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi siachi siku za hivi karibuni...ila nitaacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijioniYaani unamuwazia Billy huku wewe ndio kiboko wa kunywa![emoji1787]
[emoji8][emoji8][emoji8]nitawauliza wenzangu mlipewa zawad gani.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kati ya nyie watatu,atakayefanikiwa kuacha anidai zawadi.
Haha nimedakwa mimi,[emoji7]
Tuone huto tu ua