Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,846
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kwakweli dota, hamna namna.Itabidi tuweke kambi ya mazoezi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh Mr hebu nambie lini sasa league inakua, mie nipo full hapa, yaan mwendo kubofya gia sio natembeza, napaa yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah babuuuh lol
Thubutuuuuuh hiyo bugana unasaka wapi? Nakumabiaje sasa hata uwauze hao waimbaji wa hiyo bugana Pa1 na koo zao zote bado hugusi huu mkoko hata kuuliza bei,[emoji1787][emoji1787] ngoja niendelee kusaka bugana cocastic lazima nije nikufokee na ndinga ya eshima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duuuh!! Viatu virefu ni kipaji, mie vimenishinda kwakweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilitaka kusema ila nikakaa kimya nikaona labda sijafungua Bible fresh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tuWallah ukiwa mrefu + heels, unajikuta unaswing tu kama twiga[emoji151][emoji151]
Akhsante
Mtori huo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thubutuuuuuh hiyo bugana unasaka wapi? Nakumabiaje sasa hata uwauze hao waimbaji wa hiyo bugana Pa1 na koo zao zote bado hugusi huu mkoko hata kuuliza bei,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shamsa katisha sana!View attachment 1704230
CC: @SHIMBA YA BUYENZE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia Mr, niache niweweseke na rollroy angu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]