Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi tuweke kambi ya mazoezi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana bwana haya mambo yana wenyewe, nilichoka nikaanza kuwaza hivi mateso yote haya ili nipate nini[emoji2369][emoji2369]
Mnaovaa hebu labda mtupatie somo mambo yanakuwaje kwa ground, maana loooh[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uote kwa kipi sasa? Haya ni matumizi mabaya ya ndoto. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ota kwanza umenunua Range Rover, huku kwingne mtuache watu wenye mapene yetu.
[emoji1787][emoji1787] ngoja niendelee kusaka bugana cocastic lazima nije nikufokee na ndinga ya eshima
 
Back
Top Bottom