Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,438
- 857,735
- Thread starter
- #91,181
Babuuuuuuh naomba kidogo nionje.
[emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia Mr, niache niweweseke na rollroy angu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji106]
[emoji8][emoji8] [emoji3059][emoji3059]Hellow![emoji8]
aloo!! hapo lazma mtoto wa mtu akamatike na kudanganyika.
hii kitu inakupooza na kukutuliza vzriiiii. Kama unastress ukiigonga nusu glass tu, lazma uanze kucheka mwenyewe ni moja kati ya dawa nzr kabisa ya kuyeyusha stress.Home alone View attachment 1704586
ila sema viandunje vimeumbika mfano: Chakorii, vina figa nzr afu sio polygon, na ni vitam haswaa kwenye sekta ya penzi, yani huwezi kuvikinai kabisa.Aiseh pole ..sisi andunje inabidi tupambane na hivyo vigorofa tupate kuikaribia mbingu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hellow![emoji8]
Aise hali ni mbayaTukumbushane kidogo....[emoji40][emoji40]View attachment 1704632
AsanteHellow![emoji8]
Yaan sikupingi mwanetuhii kitu inakupooza na kukutuliza vzriiiii. Kama unastress ukiigonga nusu glass tu, lazma uanze kucheka mwenyewe ni moja kati ya dawa nzr kabisa ya kuyeyusha stress.
Tukienda nyumbani haturudi tena !utabaki na huyo mkeo kwenye hiyo sherehe 😀😀Siku yangu ya harusi ikifikA, SAA moja kamili usiku kutakua na mapumziko mafupi. Watu waende nyumbani kwao kula, then warudi tuendelee na sherehe [emoji2][emoji2]