Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
IMG20210216154511.jpg
 
Valentine yangu imekua so suprised, yaan jion ya leo ndo naletewa zawadi uuuuuh,
Babuuuh Mshana Jr plz kesho tukutane mawasiliano tower, nahitaji ulifanyie kila huduma hitaji kwa hii zawadi, nataka ijumaa iwe road kwa matumizi,
Haya wale mliokua mnataka ligi na mie, mjipange huko mliko,
Nasubiri taarifa toka kwenu. Mie niko kamili full package. View attachment 1703370
league sawa...ila mbn huo mziki mnene jaman... Tutawezana kwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom