Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera sana cocastic umenitetemesha na ilo picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha kabisaa, umeona ndinga hilo? Yaan hata uncle mwenyew na msafara wake wakiniona na huu mkoko wanapisha mbali,
Haya sasa jipange vizuri huko, mie nakusubiri wee tyuuh.
Chezea watu na pesa zao, huhuhuhuh na simpi lift mtu atawehuka ndani ya chuma changu buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Valentine yangu imekua so suprised, yaan jion ya leo ndo naletewa zawadi uuuuuh,
Babuuuh Mshana Jr plz kesho tukutane mawasiliano tower, nahitaji ulifanyie kila huduma hitaji kwa hii zawadi, nataka ijumaa iwe road kwa matumizi,
Haya wale mliokua mnataka ligi na mie, mjipange huko mliko,
Nasubiri taarifa toka kwenu. Mie niko kamili full package. View attachment 1703370
Mmmmmmmmh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha kabisaa, umeona ndinga hilo? Yaan hata uncle mwenyew na msafara wake wakiniona na huu mkoko wanapisha mbali,
Haya sasa jipange vizuri huko, mie nakusubiri wee tyuuh.
Chezea watu na pesa zao, huhuhuhuh na simpi lift mtu atawehuka ndani ya chuma changu buree. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa umeweza kutufokea
 
Tena kuwafokea haswaaah, rollroy mchezoooh, mauzo ya jimbo mbunge na wapigakura wake, ndo bei ya huu mkoko.
Hebu kwani nifanye usajiri, bima na nn, ili Friday mchuma uwe kwenye lami mbovu za Danganyika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee me ngoja niendeleze mahaba kwenye chombo changu cha usafiri iyo ata kuota kununua sijawai maana ni maji marefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ile niliyomuuziaga marehemu Ginimbi akapata nayo ajali akafa
 
Aisee me ngoja niendeleze mahaba kwenye chombo changu cha usafiri iyo ata kuota kununua sijawai maana ni maji marefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uote kwa kipi sasa? Haya ni matumizi mabaya ya ndoto. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ota kwanza umenunua Range Rover, huku kwingne mtuache watu wenye mapene yetu.
 
Maandalizi ya chakula cha mchana yanaendelea hapa Goma
FB_IMG_1613466592580.jpg
 
Back
Top Bottom