cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
Ki swahili cha wapi hiki.......alinkafu fijho alikumimyabho pa kibusu
hahahahahhaha mbeya mkuu...akija annie atakuelekezaKi swahili cha wapi hiki.......
Duh nilipigwa butwaa 😅😅,hahahahahhaha mbeya mkuu...akija annie atakuelekeza
Sijambo baba.Saint Anne
Hujambo mama, nimekukumbuka sana.


alinkafu fijho alikumimyabho pa kibusu




Inabidi aje mbeya tumfundishagehahahahahhaha mbeya mkuu...akija annie atakuelekeza
Naanzaje kuacha labda upotee humu,Sijambo baba.
Unaendeleaje?
Akhsante Sana kwa kunikumbuka
Ukinikumbuka tena usisite kunisalimia![]()
Na hivi hakuna Bahar ya kuvuka na kazi zetu hizi nitafika mbona.Inabidi aje mbeya tumfundishage
Hahah!Naanzaje kuacha labda upotee humu,
Ukirudi unakutana na thread yako.
Ni tafsirie hapi au niandike mahalu kwenye notebook 😂😂, usiponitafsiria.
Kalumbu hivi umegoma kuniletea Billdrago?
Kazi gani hizo boss wangu?Na hivi hakuna Bahar ya kuvuka na kazi zetu hizi nitafika mbona.
Kazi za mikono sio za waheshimiwa😌,Kazi gani hizo boss wangu?
Atakuja Gerald mwenyewe kukutafsiria..Ni tafsirie hapi au niandike mahalu kwenye notebook, usiponitafsiria.
Hizohizo natamani nizijueKazi za mikono sio za waheshimiwa,
Ivo tu lakini sio magari.
Hilo mbona dogo mama,Hahah!
Naanzishiwa thread kabisa?
Utakuwa mwaka wa maajabu kwangu.
Utazijua usijali me nipo wewe upo,Hizohizo natamani nizijue