Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

last time amepotea alivyorud alikua na majanga ya ajali.....this time sijui kwann kapotea hope yuko salama huko aliko



lakini si uko na namba yake em mcheki..
mwambie G anakuambia kilimanjaro zimeshuka bei arud tuu
Kili zimeshuka bei?[emoji134]Yesu wangu..wanamtakia nini Billy jamani[emoji134][emoji23][emoji23]
Si ajabu alishatupa simu huko kwenye Kilimanjaro [emoji1787]

Mimi Sina namba yake Kalumbu[emoji23]
Si tumekubaliana wewe unamleta..
geraldincredible Nileteeni Billy
Nileteeni Billy
Nileteeeeniiii Billyyyyy
 
Nijioneaga aibu mno,
ila nitaji-selfie tu,
Kabla itabidi nikachambue mapose mazuri.
Kwanini ujionee aibu?
You're handsome just the way that you are..
Usijipe shida,wewe tupia yoyote tu..hata km umesimama kama Askari[emoji4].
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Miaka hii na pose la kiaskari,
Kaka angu ni yule handsome wa Mbeya,
Anaitwa Chikumbalaga.
Hahah!
Mimi basi pekeyangu ndio nimebaki na mapozi ya kiaskari

Selfika basi nikuone,Niko serious nasubiri selfie yako[emoji6]
 
Valentine yangu imekua so suprised, yaan jion ya leo ndo naletewa zawadi uuuuuh,
Babuuuh Mshana Jr plz kesho tukutane mawasiliano tower, nahitaji ulifanyie kila huduma hitaji kwa hii zawadi, nataka ijumaa iwe road kwa matumizi,
Haya wale mliokua mnataka ligi na mie, mjipange huko mliko,
Nasubiri taarifa toka kwenu. Mie niko kamili full package. View attachment 1703370
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera sana cocastic umenitetemesha na ilo picha
 
Back
Top Bottom