Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bed breakfast
IMG20210215090450.jpg
 
Wapi hiyooo? Niombe lift ila naendesha mie mwenyewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefika nilikuwa nakwenda mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwenye kuendesha mwenyewe apo
 
Nimefika nilikuwa nakwenda mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwenye kuendesha mwenyewe apo
Yaan sifichi mie kwenye car hasa private napenda nisukume mwenyewe, hata km lift, labda kwa mtu nisie zoeana nae. Ntakuwa mpole.
 
Halafu nimekumbuka hapo kwenye "Cause I got you babe" kuna cousin yangu alikuwaga anaimba "Isagha kuno"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaan sifichi mie kwenye car hasa private napenda nisukume mwenyewe, hata km lift, labda kwa mtu nisie zoeana nae. Ntakuwa mpole.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Siku ndaomba tufanye mashindano bagamoyo load
 
Wacha weee? Yaan unanfanya munkari wa kukanyaga mafuta upande maradufu, afu kuna jamaa mwingne pia hapa aliomba ligi nae, ukiwa fresh nistue ila weekend.
Sema dar uwa nakuja mala moja moja next time nikipanda tuandae ligi niwakalishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom