Leo siku ya mahaba nkamu. Lebda nitupie kidogo kitu cha Kassim Mganga-Usiende kwa mganga, ufikishe kwa wifi
Tazama sura yako ilivyo nzuri, macho mazuri, najihisi raha
Tazama midomo yako mizuri, miguu mizuri najihisi raha.
Tazama unavyo nipendeza, unavyo nipendeza najihisi raha,
Tazama ninavyo kupenda ninavyo kupenda, najihisi raha.
Napenda unavyo niheshimu kiukweli japo sio sana, nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana, nakuomba zidisha.
Wanaosema asali tamu kuliko mapenzi, kuliko mapenzi nakataa
Wanaosema asali inazidi utamu, kuliko kupendwa nakataa
Aaaa yaa yaaa
Usiende kwa mganga (usiende baby wangu)
Usiende, nisikilize mpenzi wangu (x2)
Si unajua mihangaiko yangu, jua kali nikirudi nimechoka (x2)
Nipokee basi vifurushi nipige na busu nibembeleze.
Unipikie chakula kizuri mpenzi, nile nishibe nikushukuru
Unizidishie mapenzi zaidi unayonipa, nisiende kwengine
Wanaosema asali tamu kuliko mapenzi, kuliko mapenzi nakataa aah
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa
aaah yaaa yaaa
Usiende kwa mganga usiende nisikilize mpenzi wangu ( x2)
Tupendane tupendane tupendane tupendane mpenzi wangu.
Rusha babe, siku ni hizihizi! Au break yako ni ya karibuni?