tena kila mtu anachukua hamsini zake hadi mwakaniiiiKwahiyo mkishamaliza kukumbukana kwa siku moja kila mtu anaendelea na mambo yake???🤔🤔
Loh!Kweli mjini raha 😃😃tena kila mtu anachukua hamsini zake hadi mwakaniiii
Usitunyime pilau tuu mkuu 😀Loh!Kweli mjini raha 😃😃
Nimepika ugali tu maana mie sisherehekei chochote leo.Usitunyime pilau tuu mkuu 😀
Sawa mkuuMkuu hapa ni mahali pa ucheshi na Wasukuma ni watani zetu, achana tuwatanie
Valentine Usukumani Raha sanaMkuu hapa ni mahali pa ucheshi na Wasukuma ni watani zetu, achana tuwatanie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1702032
Ngosha maweeeValentine Usukumani Raha sanaView attachment 1702496
Daah nimemiss hii kazi aiseee yaani kwenye kujaladia madaftari tu nilikuwaga niko vizuriNimepewa kazi [emoji846][emoji846]
View attachment 1702478
Ni karibiee
Asante mtumishi kwa neno la uzima