Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiki kilimo mbona kizuri inatakiwa ufungue moyo sema soko lake limeanguka kipindi hiki cha magu
Hicho kilimo tatzo lake kazi ni nyingi aaah, yaan usipokua makini hutoki na kitu. Mie kupandikiza na kung'olea aaaah nlikua nachukia japo skua nafanya San.
 
1581649853771.jpg
 
Hicho kilimo tatzo lake kazi ni nyingi aaah, yaan usipokua makini hutoki na kitu. Mie kupandikiza na kung'olea aaaah nlikua nachukia japo skua nafanya San.
Hakuna kazi ngumu kama kilimo cha mpunga.
Kazi ni nyingi mno na bado ukikosea kidogo tu umepoteza
 
Back
Top Bottom