Huyo atakuwa na liroho lake libovu tuNi asili yao lakini Hawa wa kwao ulinishangaza kidogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo atakuwa na liroho lake libovu tu
Labda mbina[emoji3]Michezo yetu ipi tena mkuu?[emoji1]
Ulozi mkuu[emoji23][emoji23]Michezo yetu ipi tena mkuu?[emoji1]
Ngoja nikae nje kidogo nimekosea mlangoUlozi mkuu[emoji23][emoji23]
Mkuu hapa ni mahali pa ucheshi na Wasukuma ni watani zetu, achana tuwatanieNgoja nikae nje kidogo nimekosea mlango
Bora mninyonge
Mbina ni nini?Labda mbina[emoji3]
Bora ufe njaa[emoji23]Bora mninyonge
Nitachambua mwaya Pweza hapana asee.Bora ufe njaa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitachambua mwaya Pweza hapana asee.
We unakula pweza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyo mdudu anatisha
SijawahiWe unakula pweza?
Be mine😌💖[emoji177]View attachment 1701898
Me nikimuona nahisi kitu kwenye meno yangu, sembuse kumueka mdomoni....Sijawahi
Niliona video yake akiwa majini mzima ..Me nikimuona nahisi kitu kwenye meno yangu, sembuse kumueka mdomoni....
Kuna hawa wengine sijui kamba kochi kuna mdau alishawah kuwaleta nikawashindwa..... Nikiona muonekano tu baaasi.
Sure, lakini watu wengine hawakioniNiliona video yake akiwa majini mzima ..
Mm nadhani siwezi kumla. .anatia kinyaa.