[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Michezo ya wasukuma inaongozwa na watu wanaitwa Manju asilimia zaidi ya 95 imetawaliwa na UCHAWI[emoji3]
Hao wadudu sidhani kama naweza kulaHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulala njaa itakuwa hiyari yako.
Mi siwezi kubali ufe njaa
Hahaha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa mfano utashindwaje kula samaki choma kama huyuHao wadudu sidhani kama naweza kula
Ngoja tuachane na wasukuma.Hahaha.
Sijui naanzia wapi kumtafuna[emoji21]Kwa mfano utashindwaje kula samaki choma kama huyuView attachment 1702132
Ubarikiwe da mkubwaWapendeni adui zenu
Waombeeni wanaowaudhi[emoji177]View attachment 1702202
Bro yuko vizuri sana....Huu wimbo naukubali mno kuliko nyimbo nyingine zote za Akon.
Niko poa sanaPole..
I hope uko salama[emoji4]
Amen[emoji177]Ubarikiwe da mkubwa
Jamaa ana style fulani ya kuimba ya kipekee Sana.Bro yuko vizuri sana....
Ukisikiliza Rnb's za miaka ya 2000 karibu zote kali sana.
AmenNiko poa sana
Amen
Hivi hakuna mapilau leo tualikane jamani