Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nenepa baba..maisha yenyewe mafupi sana.Na ninavyopenda kudekezwa sasa, ngoja nijiandae kunenepa kwa huduma zako
Angalia ratiba ya ndege on Wednesday kuja Bara. Ila ndiyo oneway, hakuna kurudi tena Zanzibar
Wala usihangaike na ndege ndugu yangu.nitapiga mbizi Bahari ya Hindi mpka Nifike bara.


