Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Oh sawasawaSina cm [emoji41][emoji41]
Endelea kutokuwa nayo[emoji4]
Oh sawasawaSina cm [emoji41][emoji41]
Ugali wa kienyeji
[emoji28][emoji28][emoji28]Oh sawasawa
Endelea kutokuwa nayo[emoji4]
ChakoriiUgali wa kienyeji
Nakuagiza uishibishe wallet yakoKwa hatua niliyofikia, we niagize chochote nitafanya bibie. Siwezi kukosa mguu wa bia hivi hivi
Hata mimi pia sidhani 😎Ukiongelea wasukuma kwa ujumla unakosea mkuu[emoji1]
Sema unaongelea baadhi ya wanaume wa kisukuma.
Mfano hata kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE awe na mfumo wa kikoloni,mfumo dume kweli?
Mmmmmh....sidhani[emoji1]
Mtakatifu wangu..wanaume wa kisukuma nawapenda sana ni warefu wanapenda watu.Ndiyo ndiyo
Tena mna majigambo sana
Tena wa humu jf ndio kabisa..
Umeona Eeeeeh!!Hata mimi pia sidhani [emoji41]
Habari ya uzima mpendwa
Eti Eeeeh!!Shemeji hiyo suruali imekukaa vizuri[emoji41]
Dada yako atakuwa ameolewa na mwanaume wa kisukuma wa kupandikiza[emoji1]Ni kweli kabisa.
Kuna vitu vilinishangaza kidogo[emoji23]
Sijui labda tofauti za tamaduni.
Hivi kumbe unamjua shemeji😁😁Umeona Eeeeeh!!
Si hata shemeji,mpenzi/mmeo ni msukuma?[emoji1]
Ni nzuri mpendwa wangu.za kwakoHabari ya uzima mpendwa
Karibu Shemeji yangu.Eti Eeeeh!!
Akhsante sana shemeji yangu kipenzi mzuri.
Umeona imenikaa vizuri sehemu ipi ya mwili?[emoji1]
Akhsante sana shemudarling nakaribiaKaribu Shemeji yangu.
Upande wa miguuni imekukaa vizuri sana
Mbona nimeshaweka huko juu.Ukiweka nami naweka
Niambie kiongozi.
A wapiDada yako atakuwa ameolewa na mwanaume wa kisukuma wa kupandikiza[emoji1]
Hiki kilimo mbona kizuri inatakiwa ufungue moyo sema soko lake limeanguka kipindi hiki cha maguMadimba hayoo, majaruba ya mpunga. Nachukia kupandikiza na kung'olea aaaah tabu tupu. Nmekumbuka home.