Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weekend na mtoto sweet
IMG_20210213_175451.jpeg
 
Ni wazuri sana
Ila kuna kamfumo kao dume kwa mbali.
Wanaume wote wanakuwa na mifumo na ni asili yao.

Ila hawa jamaa bhana wanapenda watu wale washibe.kwa niliobahatika kukutana nao ni wakarimu.

Ukiwakarimu uwezekanao wa kukukarimu mara mbili zaidi ni mkubwa.

Sijui hawa wamjini wakoje
 
Ni asili yao lakini Hawa wa kwao ulinishangaza kidogo
 
Back
Top Bottom