Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
14 February 
Jamani kukicha mpost mapicha
tuwaone mnavyotokelezea na babes zenu

Jamani kukicha mpost mapicha
tuwaone mnavyotokelezea na babes zenu

tuwaone mnavyotokelezea na babes zenu
HahahahaSure, lakini watu wengine hawakioni
Simama tumsifu Bwana MunguBe mine![]()
Milele na Milele tushikilie hapohapoSimama tumsifu Bwana Mungu
Wengine hatuna babes😑.14 February
Jamani kukicha mpost mapichatuwaone mnavyotokelezea na babes zenu
![]()
Hahah!Milele na Milele tushikilie hapohapo
Karibu ibadani tumsifu Bwana keshoWengine hatuna babes.

Nitasali uku uku labda tukutane rohoni😌,Karibu ibadani tumsifu Bwana kesho![]()
🎊💜Hahah!
Nitachambua mwaya Pweza hapana asee.
Ila huyo mdudu anatisha
We unakula pweza?
Sijawahi
Niliona video yake akiwa majini mzima ..
Mm nadhani siwezi kumla. .anatia kinyaa.
Mnaongelea pweza yupi? Pweza pweza au pweza pweza?Sure, lakini watu wengine hawakioni






HahahaNitasali uku uku labda tukutane rohoni,
Tunaanza na maombi ya rehema kwa ndugu zetu walio pania kesho.







Ama zetu, ama zake tunamnyang'anya walio wetu,Hahaha
Kwa kweli maana kesho shetani naye amejipanga kuvuna roho za watu ,aongeze watu upande wake![]()
Vita ni KaliAma zetu, ama zake tunamnyang'anya walio wetu,
Tunarudisha fahamu zao..![]()

😂😂Vita ni vizito sana.Vita ni Kali
Ngoja nianze kushika wingu
Dada /Mama kapendeza.
Vita ni vizito sana.
Tuanze na vinasa sauti vyao,wanavyotumia kukamata wateule.




😅😅😅😅.
Kuvuruga anga alikokamata shetani.
Nyanyua upanga wako tunaenda kuviharibu na kukata mawasiliano.







