sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,646
- 8,736
Na mfumo dume uliotukuka!Wababe sana
Na mfumo dume uliotukuka!Wababe sana
Tupia mkuuOoooh na picha

Ukiweka nami nawekaTupia mkuu![]()
moudgulfNakubali 100%
sawimaNa mfumo dume uliotukuka!
Mno yaaniNa mfumo dume uliotukuka!
A wapiUkiona wanaume wa kisukuma wababe jua hao ni wasukuma wa kurithi,kuhamia![]()
Dada yako mmoja ameolewa na msukuma wa Bariadi-Simiyu,Shinyanga au Mwanza?Mno yaani
Dada yangu mmoja ameolewa huko
Hapana mimi siko hivyo mkuu....A wapi
Wote tu mko hivyo


Kwa hatua niliyofikia, we niagize chochote nitafanya bibie. Siwezi kukosa mguu wa bia hivi hiviAu ukimbie wewe tu.uziache hizi siku ziendelee kutambaa
TobaaHapana mimi siko hivyo mkuu....
Hakuna mwanamke aliyejutia kuwa na mimi kwenye uhusiano wa kipenzi?![]()

Mimi sijui wa wapi ila msukuma ni msukuma tu!Dada yako mmoja ameolewa na msukuma wa Bariadi-Simiyu,Shinyanga au Mwanza?
Au kaolewa na msukuma wa wapi Saint Anne ?
Mmmh....sidhaniMimi sijui wa wapi ila msukuma ni msukuma tu!
Mna kamfumo dume ka kikoloni
Ukiongelea wasukuma kwa ujumla unakosea mkuuTobaa
Mimi nawaongelea wasukuma kiujumla.


Ndiyo ndiyoUkiongelea wasukuma kwa ujumla unakosea mkuu
Sema unaongelea baadhi ya wanaume wa kisukuma.
Mfano hata kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE awe na mfumo wa kikoloni,mfumo dume kweli?
Mmmmmh....sidhani![]()
Ni kweli kabisa.Mmmh....sidhani
Hamo lolo nkoi

Shemeji hiyo suruali imekukaa vizuri😎
Selfika basi tukuone