Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niwe mfupi halafu miguu iwe mirefu huoni kama utakuwa ulemavu huo😃😃😃😃😃
Hivi kumbe kuna uhusiano wa urefu wa mwili na miguu.

Mbona Mimi ni vice versa, mguu 43. Ngoja nihakiki kimo changu
 
giphy.gif
 
Mungu wangu, tafadhali wewe😅😅🙌

Usinifanye hela zangu ziishe hadi niingie benki ya watu wa Zanzibar kukopa nauli. Itakuwa aibu ya Karne 🙊
😅😅Basi tufanye nitakuachia nauli tu.imekaaje hiyo
 
Ndio nina huruma mno kwenye baadhi ya mambo Grahams .

😃😃😃😃fanya chap bhana uje uniondoe huku maana wanaweza kuniteka ujue
Na ninavyopenda kudekezwa sasa, ngoja nijiandae kunenepa kwa huduma zako

Angalia ratiba ya ndege on Wednesday kuja Bara. Ila ndiyo oneway, hakuna kurudi tena Zanzibar
 
Back
Top Bottom