Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sina tupicha.
Nitaweka kesho.
leo nimekunywa hii...nimemaliza baada ya masaa manne
20210212_171147.jpg
 
Boga bora mninyonge[emoji18]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Mimi zamani nilikuwa siyapendi kichizi yaani..
Nilikuwa sili kabisa yakipikwa,
Yalivyoanza kuwekwa viungo Sasa[emoji39]ni habari nyingine.
 
Back
Top Bottom