T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Saint Anne[emoji23][emoji23]watu gani?
Na wana raha gani?
Saint Anne[emoji23][emoji23]watu gani?
Na wana raha gani?
Huko mbele sijui wewe[emoji23][emoji23]Mhola sana
Ng'wagoko bhageshi
Sema/andikaHuko mbele sijui wewe[emoji23][emoji23]
Usiendelee Sana[emoji1787]
Ila hii salamu itanisaidia siku nikipita usukumani.
Ohooo maana yake nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Sema/andika
Eminza au eng'washi bhageshi
Siyo kupita tu ukikaa/olewa usukumani mpendwa [emoji1]
Maana yake kama kiitikio cha salamu na hapo huwa kuna tofauti nyingi za kuitikia kutokana na koo/ukoo wa mtuOhooo maana yake nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ile "mola du"inatumika wakati gani?
Tofauti Yake na mhola sana ni nini?
OhMaana yake kama kiitikio cha salamu na hapo huwa kuna tofauti nyingi za kuitikia kutokana na koo/ukoo wa mtu
Mfano kuna koo/ukoo wa kuitikia eminza,eng'washi,enchama nk[emoji1]
Mhola du inatumika wakati wote ukiimaanisha mzima kabisa
Du maana yake(kabisa)
Mhola sana nayo ni mzima sana
Karibu sana usukumani na itafaa zaidi ukiolewa huku ili tuchanganye makabila[emoji1]Oh
Hapo sawa [emoji4]
Nitaendelea kujifunza zaidi
Nikipata mchumba wa huko nitaolewa huko .Karibu sana usukumani na itafaa zaidi ukiolewa huku ili tuchanganye makabila[emoji1]
Hapana bhana wanaume wa kisukuma siyo wababeNikipata mchumba wa huko nitaolewa huko .
Japo wasukuma wababe Sana.
Wababe sanaHapana bhana wanaume wa kisukuma siyo wababe
Mchumba utapata ni wewe tu kuwa na utayari huo [emoji1]
Au ukimbie wewe tu.uziache hizi siku ziendelee kutambaaSawa Mama, nimeshakuhamu hapa. Natamani hizo siku zikimbie uje 😀
Ukiona wanaume wa kisukuma wababe jua hao ni wasukuma wa kurithi,kuhamia[emoji1]Wababe sana
Baharini kuna Samaki tu mkuu, wadudu wako kwenye maji baridi[emoji23][emoji23]Wadudu
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakubali 100%Ukiona wanaume wa kisukuma wababe jua hao ni wasukuma wa kurithi,kuhamia[emoji1]