Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Enheeee miili ya kiume hii nilijua nilivyokuwa nakuchora ndivyo ulivyo .....wadogo zangu wanafaidi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana KAPEACE.

Kumbe hata nyie kuna muda mnawaza kama sisi "eti wanafaidi"

Hata maisha yetu bado tunayapeleka kijamaa, chochote kizuri tuna share
 
Napata picha anavyojilaza hapo kifuani kwa madeko huku akibinya mikono hiyo......kwakweli wanafaidi nimetamani kujidogosha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana KAPEACE.

Kumbe hata nyie kuna muda mnawaza kama sisi "eti wanafaidi"

Hata maisha yetu bado tunayapeleka kijamaa, chochote kizuri tuna share
 
Back
Top Bottom