😅😅😅muoneni huyu jamaniHahaha.....View attachment 1698363
Wacha weweee..usisahau kuniita na mimi nimuone wifi yetuAmina bhageshi
Vipi nikuitie shemeji yako aje akusalimie?
MmmmmmhWacha weweee..usisahau kuniita na mimi nimuone wifi yetu
Amekuwaje tena?muoneni huyu jamani
Teh!!....bhageshi nakutambulisha muda si mrefu.Uligoma hata kunitambulisha bana. Itakuwa heshima sana ukifanya hivyo!
Unaumwa jinoMmmmmmh
Haya ndo maneno sasaTeh!!....bhageshi nakutambulisha muda si mrefu.
Mke wangu kipenzi mzuri(unajijua)naomba uje tafadhali nikutambulishe kwa shemeji/wifi zako wapendwa.
Jitahidi hata hiyo harusi simpo na wewe uwepoAmekuwaje tena?
Asee nimepunguza kula nyama na supuMara nyingi ukianza kikichekea huwa hakibanduki.
Unatakiwa uamue kwa dhati kabisa kuondokana nacho
Mara paap, "shemeji yangu kumbe ni wewe". Basi miye itakuwa sina mbavuWacha weweee..usisahau kuniita na mimi nimuone wifi yetu



Mboga


HapanaUnaumwa jino
Nimemiss game kinoma ngoja nifanye mpango
Binafsi naupenda sana. Unakuwaga na kautamu fulani hivi 🙂Mboga
Ila ugali wa dona hadi sasa nashindwa kuula.
Mimi huwa naona mchunguBinafsi naupenda sana. Unakuwaga na kautamu fulani hivi![]()
Aaaaaah wapi wee thubutuuuuh lolaya maisha aya kuna cha kufaid zaidi ya kuteseka tu
Aaaaah dona tena, mwenyeji unazingua sasa.